Uncategorized

VITU VYA KIJAMII VINAVYO SABABISHA MARADHI YA KIMWILI KWA BINADAMU

By  | 

Kuvuta sigara
hii tabia inaweza kukuletea matatizo ya kiafya yafuatayo

 • shinikizo la damu
 • huleta tatizo la kiungulia
 • kifua kikuu
 • Saratani ya mapafu na koo
Kunywa pombe
hii tabia inaweza kukuletea matatizo yafuatayo
 • Kwa mama mjamzito husababisha mtoto kufia tumboni
 • huaribu mfumo wa fahamu na kumbukumbu
 • husababisha ajali za magari pikipiki
 • hupunguza nguvu za kiume
 • kutokujali familia
 • kufilisika
Ulaji
hii tabia inaweza kukuletea madhara yafuatayo;
 • unene kupiliza
 • matizo ya moyo
 • shinikizo la damu
 • kisukari
 • stroke
Mawazo
huleta matatizo kama vile;
 • msongo wa mawazo
 • vidonda vya tumbo
 • kukosa nguvu za kiume
mengine ni kama umasikini