LifeStyle

VITU KUMI VYA KUFANYA ILI KUEPUKA KUFANYA TENDO LA NDOA KUPITILIZA

on

 


1. Pale ambapo unasikia hamu bana mapaja yako kisha chukua mto wako kumbatia kwa dakika 30 tu hamu itaisha.

2. Kuna saa mwanamke anasikia muwasho kwenye uke wake na kutaka kujikuna hiyo ni dalili wa uhitajiwa kufanya mapenzi, kisha mwaume wako hayupo karibu cha kufanya ni chukua maji moto kisha pooza na maji ya baridi alafu osha sehemu zako za siri na kanda kanda uke wako.

3. Usifikirie vitu ambavyo vinaendana na ngono kwa sababu vitakufanya upate hamu ya kufanya ngono

4. Fikiria upendo wako na mpenzi wako ili kukufanya wewe usije msaliti mpenzi wako kwa kutembea nje ya mahusiano.

5. Pale ambapo unapata hamu ya kufanya ngono jihusishe na kazi ambazo zitakufanya uwe bize.

6. Usiwe karibu na msichana au mwanaume wakati unakuwa na hamu ya kufanya mapenzi.

7. Usimkubalie mwanamke au mwanaume kama hutaki kusimamisha viungo vyako vya uzazi.

8. ukifanya mapenzi sana kwa mwanaume unapunguza uzalishaji wa mbegu zako za kiume.

9. Uhusiano mzuri wenye upendo hauhitaji kufanya mapenzi mara kwa mara

10. Pale ambapo unasikia hamu ya kuafanya mapenzi pumzika na angalia

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *