LifeStyle

VITU 10 AMBAVYO VITAMFANYA MJASIRILIAMALI KIJANA KUFANIKIWA

on

1. Anza kwa wazo lako moja kisha lisimamiye ipasavyo.

2. Fanya unachokijua

3. Anzisha kitu cha kukuvusha mwenyewe au njia yako mwenyewe

4. Tambua nini ambacho hukijui kisha tafuta njia ya kukijua

5. Kuwa mwanzilishi

6. Kubaliana na uzoefu wako na kushindwa kwako kisha tafuta njia za kusahihisha ulichokishindwa.

7. Fanya kama umekosa mtu wa kuwekeza katika kitu unachokifanya

8. Linda afya yako

9. Usijidanganye mwenyewe na usidanganye wengine

10. Usikubali ubinafsi wako ukufanye uwe mjinga

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *