Uncategorized

VIFUATAVYO NI VITU AMBAVYO PESA INAWEZA KUNUNUA NA AMBAVYO PESA HAIWEZI KUNUNUA

on

WATU WENGI WANAWAZA NA KUAMINI KWAMBA UKIWA NA PESA KILA KITU UNAWEZA FANYA KUMILIKI PIA KUKITUMIA LAKINI KWANGU NI TOFAUTI SANA.
WATU WENGI HUWA TUNAPENDA KUTAFUTA PESA KWA SABABU UBONGO WETU WOTE UMESHATUAMINISHA KWAMBA RAHA YA MAISHA HULETWA NA PESA.
VIFUATAVYO NI VITU AMBAVYO PESA HAIWEZI FANYA;

1.Pesa inaweza kukupa tabasamu lakini siyo furaha(money can give you smile but not happyness)

ukiwa na pesa unaweza kujisikia vizuri pale ambapo unaipokea pia kama wewe ni mtu wa kuangalia watu wenye mafanikio kipesa mara nyingi huwa wanatabasamu sana kwa sababu kutabasamu ni hali ya kawaida katika maisha ila hapo hapo utakuta amegombana na mke wake au wazazi wake hivyo hawezi kutumia ela yake ili kuleta amani ambayo itapelekea furaha katika maisha yake.

ALWAYS TO HAVE MONEY WITHOUT HAPPYNESS IS LIKE SEA WITHOUT FISH.

2. pesa inweza nunua kitanda siyo usingizi(can buy bed not sleep)

watu wengi unakuta wanamajumba ya kifahari lakini hawawezi hata kulala huko kwa sababu ya wasiwasi juu ya maisha yake kwa hiyo hata kama anakitanda kizuri huwa hata akiegesha apo usingizi hamna hii ni kwa sababu ya kufikiria namna ambayo amepata ela yake au malumbano ndani ya moyo na nafsi yake. Usingizi huja wenyewe saa yeyote hautaji hongo wala pesa nyingi unachohitaji ili uje ni amani ya akili ili akili iruhusu mwili kupumzika kwa muda.

3. pesa inanunua kitabu siyo utashi (can buy book not wisdom)

unaweza kusoma vitabu vingi sana  pia unaweza kufundishwa mambo mengi sana katika maisha yako vilevile kwa sababu unapesa unaweza kuwapeleka watoto wako shule nzuri sana lakini wakafeli au wakashindwa kuendelea na masomo yao hii ni kwa sababu moja tu huweza kununua uelewa au uwezo wa kufikiri na kuwapa watoto wako. kwa hiyo uelewa wa kitu unategemea ufikiri wa mtu kulingana na uwezo wake.

4.Pesa inanunua  saa siyo wakati (clock not time)

ni kwel kwamba watu wengi huwa wapenda kuvaa saa sana na kila mtu ukimfuata ukamuuliza kwa nn umevaa saa atakujibu majibu tofauti. Mwingine ni kwa sababu ya urembo mwingine ni kwa sababu ya kazi yake labda mgonga kengele shule. wakati siku zote haubagui hii inathibitishwa  pale ambapo saa ya 500/= na saa ya 100000/= huonyesha majira sawa siyo pia hata kama huna pesa au unapesa ukifika wakati wa kuzeeka utazeeka pia wakati wa kufa utakufa tuu haijishi uwezo wako wa kununua vupodozi chakula au mavazi.

5.pesa inaweza kununua washkaji lakini siyo marafiki (companion not freends)

unaweza kuwa na watu wengi pale ambapo unapesa hii ni kwa sababu unaweza kuwanunulia vitu ambavyo wanahitaji pia kuwapa sapoti katika mambo yao lakini pale ambapo unakosa nguvu na uwezo wa kifedha ila kuwatekelezea yale wanayphitaji wao huwa wanakimba na hii ni kwa sababu ya kitu kimoja akili ya mtu ndiyo umfanya mtu aweze kukubali kitu kwa hiyo kama hajaamua kuwa na rafiki ako basi hatakuwa tu hata ukimpa pesa atakuchuna afu anapita na miaaaaaa.

6. Pesa inanunua chakula na siyo hamu ya kula (food not appetite)

mtu anaweza kununua mavyakula mazuri kama mayai nyama baga n.k lakini hamu ya kula inabaki ndani ya uamuzi wa mwili wake hawezi kutumia pesa zake ili kuupata.

7,pesa inanunua pete siyo ndoa(ring not marriage)

kila mtu ambaye yupo kwenye ndoa huwa anavaa pete kama ishara ila ndoa ya mtu naweza sema pete yake ipo moyoni mwake na siyo kidoleni kwa sababu siku hizi pete ni pambo tuu hata wasanii wanavaa siku zote uaminifu ndio kinga ya ndoa kwa hiyo huwezi kununua uaminifu kabisaaa.

TRUST US A RING WHICH FOUNDED IN OUR HEART WHICH IF YOU HAVE YOU CAN MAINTAIN AND SUCCESS IN YOUR MARRIAGE

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *