Health&Food

VIFUATAVYO NI VISABABISHI VYA UKIMWI VILIVYOTOLEWA NA TUME YA KUZUIA NA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA

on

 

MWENENDO WA VISABABISHI VYA UKIMWI TANZANIA NI VINGI NA VINAONGOZWA NA MAMBO YA KIJAMII KIUCHUMI NA KIUTAMADUNI.KULINGANA NA TUME HII VISABABISHI VYA UKIMWI HAVUJATOFAUTIANA SANA NA VILE VYA NCHI NYINGINE ZA BARA LA AFRIKA.

Miongoni mwa vipengele muhimu vilivyoainishwa na tume hii kama visababishi vya ukimwi ni kama vifuatavyo;

 

 • Uasherati
 • Matumizi madogo na yasiyoendelevu ya kondomu
 • Ngono za marika yasiyotofautiana sana
 • Kuwa na wapenzi wengi
 • Ukosefu wa elimu kuhusu njia za maambukizi ya ukimwi
 • Kuwepo na maradhi mengi yanayochangiwa na ngono
 • Jando la wanaume
Sababu za mahali husika;
 • Umasikini
 • biashara za ngono
 • ongezeko la wafanyabiashara
 • tabia ya wanaume kutoka nje ya ndoa kwa sababu ya mfumo dume
 • kukosekana kwa usawa katika nyanja za kiuchumi kisiasa na kijamii
 • unyanyaswaji wa wanawake na wasichana walioko ndani na nje ya ndoa
 • matumizi ya pombe na dawa za kulevya
 • tabia za kimila kama vile jando unyago na kurithi wajane
 • safari ambazo husababisha wanandoa kuwa mbali mbali
 • kutokutahiriwa
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *