Entertainment

VideoMpya: Pharrell Williams ‘There’s Something Special’

on

Pharrel Williams ni moja kati ya watayarishaji na waimbaji wa Pop wanaofanya vyema sana katika ulimwengu wa Burudani ya Muziki. Na hii ni video yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘There’s Something Special’. Itizame hapa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *