Entertainment

Video: Stan Bakora- ‘Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko |Parody

on

Ngoma ya Show Me yake Harmonize akimshirikisha Rich Mavoko ni ngoma inayobamba kwa sasa, Video yake pia ni kali ambayo inaonyesha wadada wengi warembo wakilisakata vyema Rumba. Mchekeshaji Stan Bakora kaona afanye Parody Ya ngoma hii na hiyo hapo chini ni Video yake.

Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *