Entertainment

Tizama hapa Video Mpya ya Navy Kenzo – Morning

on

Navy Kenzo baada ya kufanya poa na ngoma yao ya Feel Good, wameachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Morning ambapo Video hiyo imefanyikia huko nchini Israel ndani ya mji Ujulikanao kama Tel Aviv chini ya Director ajulikane kwa jina la Gleb Smirnov.

Enjoy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *