Health&Food

UJUE UGONJWA WA KIPINDUPINDU KWA UNDANI (maana,dalili na matibabu)

on

 

Huu ni ugonjwa wa mlipuko wa kuambukiza  ambao unaathiri sana mfumo wa mmeng’enyo wa chakula hasahasa  tumboni pamoja na utumbo ambako chakula husharabiwa kwenda katika sehemu za mwili

ugonjwa huu unaweza kuumua mtu hata kwa muda wa saa moja. husababisha mtu kupoteza maji mengi sana mwili kwa muda mchache hivyo kuharibu mfumo mzima wa mfumo wa damu.

bacteria anayesababisha ugonjwa huu ni vibro cholerae  huenenzwa na inzi huyu  mdudu hupatikana katika sehemu ambazo  mazingira ambayo ni machafu. kama

jalalani

choo kichafu

maji yanayotiririka                                                                               machafuDalili za ugonjwa huu;

kuharisha zaidi ya mara tatu kwa saa moja.

kulegea

kukosa hamu ya kula

njia ya kuambukizwa;


hawa wadudu unaweza wapata kwa njia ya ;

 • kula chakula bila kuosha mikono baada ya kutoka chooni
 • kula matunda bila kuosha kwa maji safi na salama
 • kuto kufanya usafi sehemu za kuandalia chakula kama jikoni
 • kutokuosha vyombo vya kulia chakula na maji safi
 • kutokufanya usafi chooni

Sehemu atarishi ambazo zinaweza pelekea mlipuko wa huu ugonjwa;

 • Sokoni
 • Shuleni
 • hotelini
 • kwa mama na baba ntilie
Njia ya kutibu ugonjwa huu.
 
Cha kwanza ni kupewe ORS hii ni chumvi ambayo inachanganywa na maji ili kuweza kurudisha madini yalipotea mwilini kwa kuharisha
kama mtu ameharisha sana hupewa maji kwa njia ya drip ili kuweza kurudisha maji ambayo kapoteza kwa wingi
hupewa dawa za antbiotic ili kuuwa vijidudu hivyo.
Vitu vingine ni kama
 • kuweka mazingira safi
 • kunawa mikono kabla ya kula
 • kunawa mikono baada kutoka chooni
 • kutibu maji ya kunywa ili yawe safi na salama

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *