Health&Food

UFAHAMU UGONJWA WA SURUA

on

Surua ni nini?


Huu ni ugonjwa ambao husababishwa na vizusi ambavyo vinaitwa rebeola husabaisha mtu kusikia baridi sana na kupata vipele vidogo sana kwenye mwili wake.

Dalili zake?


kukohoa kikohozi kikavu


Joto la mwili kupanda

Macho kuvimba na kuuma

Macha kutoa machoki mara kwa mara

Kuogopa mwanga

kupata vipele vidogo sana sehemu za mwili.

Kupiga chafyaa

Maambuzi yanatokea kwa,,,,,,,,

kugusana na mtu ambaye ameshaugua Surua

kwa njia ya hewa pale ambapo mwathirika anakohoa au kupiga chafyaa mbele yako au ya watu.

kugusa vitu ambavyo vina umajimaji ambao umetoka katika pua au macho ya mgonjwa.

Matibabu ya Surua


Muweke mgonjwa katika chumba chenye giza ili kumweka mbali na mwanga.

Mgonjwa atengwe na wengine ili kuepusha maambukizi kwa wengine

Mpe paracetamol au asprin ili kupunguza joto lake

Usimruhusu mvuta sigara avute sigara mbele ya mgonjwa.

Pia mpe mgonjwa maji kwa wingi kwa sababu ya kupungukiwa kwa maji mwilini

Mpe vidonge vya vitamin A pamoja na mbogamboga na matunda

Mpe mgonjwa ant biotics kama chlorophenical ili kutibu magonjwa nyemelezi.

Muoshe mgonjwa macho kwa maji ya uvuguvugu

mpe maji ya uvuguvugu ili kupunguza kikohozi chake.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *