Health&Food

Ufahamu Ugonjwa wa Matete Kuanga(CHICKEN POX)

on

Nini maana ya matete kuanga?


huu ni ugonjwa ambao husababishwa na vizusi ambavyo husababisha muwasho, kutokwa kwa vipele katika sehemu za mwilini ambavyo huwa vinawasha sana na vinatoa maji vikipasuka.

Ugonjwa huu huwaathiri watu wa wote sana sana watoto lakini hata watu wazima hupata marathi haya.

Usambazwa kwa namna gani?


ugonjwa huu husambaa kwanjia ya hewa mfano mtu akipiga chafya au akikohoa

Pia huambukizwa kwa njia ya kugusa nguo au matandiko ya mtu aliathirika na virusi hivi vinavyo itwa herpes.

Dalii zake


kuwashwa sehemu za shingoni

sehemu za shingoni kuwa kwekundu

baadaye hufika hadi sehemu za siri hadi mwili  mzima

joto la mwili kupanda

kuota vipele vyenye maji na vinavyouma sanaa mwilini

Matibabu yake


Hupewa dawa kama antvirus ambayo ni acyclovir hii hupunguza muda wa dalili kujitokeza.

Hupewa pia dawa za maunivu pain killers kama paracetamol au diclofenac ili kupunguza maumivu yanayojitokeza kwenye mwili.

Hupewa ant biotics hizi ni kama christa pen na cholophenical hizi husadia kupunguza matito kama bacterial pneumonia ambayo hujitokeza pale unapata matete kuanga.
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *