Health&Food

Ufahamu ugonjwa wa mafua kiundani zaidi

on

Mafua ni ugonjwa ambao huathiri sana mfumo wa upumuaji na pia  husababishwa na kirusi kinachoitwa Infuenza ambacho hushambulia maeneo ya pua, koo hadi mapafu. Baada ya siku moja mtu mwenye mafua anauwezo wa kusambaza maambukizi pia dalili hutokea kwanzia siku tano hadi ya saba.

Dalili zake ni….

  • Homa inayoambatana na kutetemeka.
  • kukohoa
  • kupata vidonda kwenye koo
  • kuchoka
  • kichwa kuuma
Ugonjwa huu huambukizwa kwa kugusa vifaa ambavyo vimegusana na mafua mfano nguo pia pale ambapo mtu mwenye mafua anapiga chafya, kukohoa au kuongea karibu na wewe anaweza kukuambukiza pia.
matibabu
  • Hakuna matibabu kamili ya mafua unaweza kutumia dawa kama piriton, Cetrizine

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *