Health&Food

Ufahamu ugonjwa wa Kidole Tumbo

on

 

Kidole Tumbo ni nini?

Hiki ni kitendo cha kuvimba kwa appendix.

Nini kinasababisha Kidole Tumbo


Hutokea pindi ambapo appendix inafungwa na vitu kama Uvimbe, vitu vigeni kwenye utumbo pia haja kubwa(mavi) vilevile appendix inaweza kufungwa kutokana na  maradhi ya mwili ambayo yanauwezo wa kusambaa mwili mzima.

Dalili za kidole tumbo

 

 • Maumivu mepesi katika sehemu ya kitovu au maumivu makali juu ya tumbo yanayoelekea sehemu ya chini kulia mwa tumbo. hii ndiyo dalili ya kwanza.
 • kukosa hamu ya kula.
 • Kichefuchefu au kutapika pindi tuu unaposikia maumivu ya tumbo.
 • Kuvimba kwa tumbo.
 • Kuvimbiwa.
 • Homa kali.
 
Ukishaona hizi dalili unashauriwa sana usitumie dawa yeyote ya kuzuia dalili ambazo zimejitokeza hii ni kwa sababu dawa zinaweza kusababisha appendix kuvimba na kupasuka zaidi. Cha msingi wahi hosipitalini.
 
Vipimo vinavyotumika kupima kidile tumbo;
 • kupima tumbo kwa kutumia mikono.
 • kupima mkojo.
 • kipomo kupitia sehemu ya haja kubwa.
 • kupima damu.
 • Ultra sound.
Matibabu’; 
 
 • Matibabu yake ni kuondoa Kidole tumbo yaani appendix iliyovimba kwa njia ya upasuaji.
 
 
 
 
 
 
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *