Health&Food

Ufahamu ugonjwa wa Donda Koo

on

Huu ni ugonjwa ambao husababishwa na bacteria aitwaye Corynebacterium diphtheria. Huenea kwa njia ya kumgusana au kushika vitu ambavyo mgonjwa ameshashika. Pia huenea kwa njia ya kukohoa na kupiga chafya. bacteria hawa huishi katika sehemu za Pua,Ulimi na koo la hewa.

VISABABISHI VYA DONDA KOO

 • Kutokupewa chanjo ya kuzuia ugonjwa huu huitwa  DTP
 • Kushambuliwa na magonjwa yanayoshusha kinga ya mwili kama HIV, kisukari. TB
 • Kuishi sehemu ambayo mazingira ni machafu
 • Kuishi sehemu yenye watu wengi.
DALILI
 • Homa
 • Kutetemeka baridi
 • Kuumwa tezi za shingoni
 • Vidonda vya kooni
 • Ngozi kuwa na rangi ya bluu
 • Kushindwa kuona vizuri
MATIBABU
 • hupewa dawa kwa ajili ya kushusha homa kama paracetamol
 • hupewa dawa za antbiotics kama erythromycin na peniccilin
 • Na matibabu mengine.
 • Hakikisha kwamba mtoto anapata dozi kamili ya DTP akati anazaliwa ili kumwepusha na kumkinga na ugonjwa huu.

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *