Cellebs

UFAHAMU UGONJWA UNAOWASUMBUA KINAMAMA BAADA YA KUMALIZA UNYONYESHAJI

on

 

Kuota jipu kwenye ziwa 

 • Hichi ni kitendo cha ziwa la mama kutengeneza sehemu ambayo ndani ya hiyo sehemu kumejaa usaha. Husababishwa na kutokunyonyesha au pale ambapo kunakuwa na mipasuko midogo midogo katika ziwa la mama kutokana na unyonyeshaji hivyo bacteria kupitia hapo.
DALILI
 • kuwa na uvimbe kwenye ziwa
 • maumivu makali kwenye ziwa
 • chuchu kutoa usaha
MATIBABU
 • Acha kumnyonyesha mtoto
 • Nyanyua ziwa lako kwa kutumia gango
 • toboa sehemu ya jipu kisha kamua jipu(hosipitali)
 • funga kidonda kisha kifanyie usafi na normal seline
 • Tumia dawa aina ya antbiotics kama vile claxaccilin au  ampiccilin
 • tumia dawa za maumivu kama vile diclofenac au paracetamol
 • masaji shingo,bega ili kupunguza maumivu
JINSI YA KUJIKINGA 
 • Andaa chuchu zako vizuri mienzi miwili kabla ya kuachisha ziwa mtoto
 • ukiwa unanyonyesha hakikisha unasafisha ziwa lako vizuri kwa kutumia maji na sabuni
 • unzweza kupaka mafuta mazuri katika ziwa lako japo siyo lazima
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *