Entertainment

Tizama video mpya ya Ludacris ft Ty Dolla $ign -‘Vitamin D’

By  | 

Ludacris alitoweka kwenye game ya Rap kwa kipindi cha takriban miaka 17 na akaamua kujikita zaidi kati Movies ambapo wengi tumemuona katika movie ya “Fate of the Furious“. Safari hii kaifanyia new Version ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la ‘Thong Song’ na kuamua kuiita ngoma hiyo Vitamin D ambapo ndani ya Vitamin D kamshirikisha mkali Ty Dolla $ign.

Tizama video hiyo hapo chini mtu wangu:

Mtokambali 728x90

Ukiniita Mtokambali Bado tuu utakua sawa. Mshkaji wa kawaida tuu, Naipenda Burudani ya Muziki(Good Music is all we need). Neno Mla mla Leo mla jana kala Nini? na ya Nini Kumdharau Mtu ilhali sisi sote Ni sawa?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

0