Entertainment

Tizama hapa video mpya ya Lord Eyes Ft Jux -Hela Yangu.

on

Mkali wa Rap kutokea Weusi Lord Eyes ambaye kwa sasa Yuko chini ya Label mpya ya Msanii Baraka The Price, kaachia video ya ngoma yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina la Hela Yangu akiwa kamshirikisha Vyema Msanii Jux kutokea Wakacha. Audio imetengenezwa pale Switch Rec chini ya Producer Lupher. Tizama video Hiyo hapo chini Mtu wangu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *