Inspiration

Three steps to start company ( hatua tatu za kuanzisha kampuni)

on

1.Idea( wazo)


everything start from mind so always create thought which will allow you to generate success.Your own idea can make you to be a founder not paste person. respect what you think and work on it according to your ability.

akili ndio huzaa mawazo ambayo baada ya kuonekana kwa mcacho ya moyoni mtu huamua kuyatumia kwa kuyafanyia kazi. huwezi kufanikiwa bila kuchugua nini cha kufanya katika maisha kwa kufikiria wewe mwenyewe na kutengeneza fursa zakwako wewe mwenyewe.

2.Technology(teknolojia)


When you whant to implement your idea make sure that you see how the world is look like in term of communication, carrying jobs and organization always implement your idea in up to date condition.

fanya vitu vyako huku ukiangalia dunia inaenda wapi tumia vitu ambavyo ni vya sasa katika kuanzisha kampuni yako kwa kutumia mawazo yako kuwa wa kisasa siku zote.

3.Passion to be entreprinuer( uchu wa kuwa mjasiriamali)


Respect your internal feeling about future plan to success in life do what is belong to your passion and also do what you love never allow oppressor to take control of your passion. Feel confident about planning and implement your passion.

Usiruhusu watu kukuharibia kitu ambacho wewe unapenda kukifanya kwa moyo na unaamini ukikifanya kitakutengenezea mafanikio katika kampuni yako. kifanye kifanye kifanye zaidi hata kisipofanikiwa mara ya kwanza rudia tena na tena.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *