LifeStyle

Tambua na elewa hatua 5 nzuri za kuwasiliana na mteja kwa uhakika zaidi.

on

Mawasiliano ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu, mawasiliano ni kile kitendo cha kutoa taarifa kutoka kwa mtu mmja kwenda kwa mtu mwingine au jamii moja kwenda jamii nyingine au kutoka kwa muhudumu kwenda kwa mteja, Kila mtu lazima awasiliane na mwenzie ila mawasiliano mazuri ni yale ambayo humfanya mteja kubaki katika huduma yako. Hatua 5 nzuri za kuwasiliana na mteja vizuri;-

  1. Kuongea au kufundisha; Hii hitumika pale ambapo unawasiliana na mteja mpya katika eneo lako la kikazi, wakati wa kumfundisha ,mteja anaweza kusikia kuchoka kutokana na mbinu au namna wewe unavyomfundisha ili kuzuia hilo mteji kuchoka wewe kama mfundishaji au muongeaji unatakiwa kutoa mafundisho ambayo ni mafupi, yaliyosahihi na yanayoeleweka.
  2. Kuuliza maswali ; Baada ya kumfundisha muulize mteja baadhi ya maswali hii itakusaidia kujua kama mteja ameelewa kile ambacho umemfundisha na kuondoa mawazo yeyote aliyoyapokea kutoka kwako ambayo hayaendani na ulichofundisha, pia mpe nafasi mteja akuulize maswali ili kumuondoa hofu kuhusu kitu ulicho mfundisha.
  3. Sikiliza; Msomaji mzuri ni yule ambaye humsikiliza vizuri mfundishaji pia mfundishaji mzuri ni yule ambaye humsikiliza msomaji vizuri, hakikisha unamsikiliza mteja wako vizuri hii humpa hamasa ya kuzidi kukusikiliza na kumfanya apende mazungumzo yako. Mtoa huduma akimsikiliza mteja vizuri humwelewa vizuri mteja na kujua nini anataka.
  4. Angalia ; Wakati unaongea na mteja hakikisha unamuangalia kwa umakini kama akisinzia, akipiga miayo au akianza kuongea na wengine, kumwangalia mteja kutakusaidia kujua kama amechoka, ameelewa au anatamani kuendelea kusikiliza unachomwambia.

Kwa ufupi hizo ndio hatua kumi za kuongea na mteja wako na akuelewa natumaini umepata angalau upeo mdogo kuhusu mawasiano baina yako na mteja wako.

Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *