LifeStyle

Tabia tatu ambazo mtu akipenda huwa mwerevu

on

 

1. Kupiga vyombo vya muziki

Kucheza vyombo vya muziki husaidia kuimarisha ubongo hivyo mtu kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, ujuzi wa kuchanganua vitu pia uelewa wa lugha, kumbukumbu na uwezo wa kutatua tatizo.

2. Kusoma chochote


Usomaji husaidia mtu kutatatua changamoto mbalimbali pia humfanya mtu kuwa na marifa mapya, humsaidia kiongozi katina ujuzi wa kupangilia na kuongoza watu wake na  mwisho hupunguza mawazo.

3. Kufanya mazoezi


Mazoezi ya mara kwa mara ni bora zaidi kuliko kufanya kazi ngumu haya husaidia akili kufanya kazi ya kumbukumbu vizuri, kusoma, kuwa msikivu na kuelewa.

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *