LifeStyle

TABIA 13 ZA MATAJIRI

on


1. Wanasoma mara kwa mara

2.  Hufanya mazoezi 

3. Wanapenda kutembea na watu wenye mafanikio

4. Wanafanikisha malengo yao kwa nguvu na akili zao wenyewe

5. Huamka mapema

6. Wanavyao vya mapato vingi zaidi ya kimoja

7. Hutafuta na kuongea na watu wanaowashauri na kuwaelekeza

8. Huwa hawasikilizi maneno ya watu

9. Wanamaadili mazuri

10. Wanawasaidia watu wengine kufanikiwa

11. Ni watu chanya siku zote

12. Huchukua dakika 15 hadi 30 za kufikiria maisha yao

13. hupenda kupewa majibu ya kitu walichokifanya

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *