Uncategorized

TABIA 10 ZA WATU WANYE MAFANIKIO

on

1. Macho yao yapo katika maono yao na malengo yao tuu.

2. Wanajua utofauti kati ya Umuhimu na Uharaka

3. Wanapanga vitu vya kufanya kwa siku nzima

4. Wanajua wapi wanapopata wanachonitaji kwa muda wanapohitaji.

5. Hupanga ratiba ya kufanya mambo yao kila mara

6. Huchukia upotezaji muda

7. Huenda kwenye kikao kwa kusudi fulani

8. Hawajioni wakamilifu

9, Huacha mapengo katika ratiba zao

10. Huacha kitu kwa mikakati

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *