Cellebs

SPINACH HUSAIDIA KUONGEZA DAMU KATIKA MWILI WA BINADAMU

on

 

SPINACH zina vitamin A, B2,C na K pamoja na rangi yake ya chlorophyll. ndani ya mboga hii pia kuna madini ya mbalimbali kama chuma, potassium, magnesium pamoja na foliki.

Spinach ni dawa nzuri ya kutibu upungufu wa damu mwilini( anaemia) hasa kwa kina mama wajawazito. hii hutoka na kusheheni madini mengi ya chumu na asidi ya foliki ambayo huongeza uwezo wa uzalishaji chembe nyekundu za damu, husaidia katika kuimarisha mifupa .

Rangi ya kijani iitwayo chlorophyll ambayo hupatikana kwa wingi katika mboga hizi husaidia mwili kukabiliana na upungufu wa damu tafita mbalimbali zinaonyesha kuwa dawa lishe ya vitamin na madini mbakimbali ndani ya spinach

1. huimarisha afya ya ngozi

2. Husaidia nywele kuwa na afya nzuri

3. Husaidia kupunguza adhari ya kupata magonjwa ya pumu, kisukari na magonjwa ya mishipa ya         moyo.

5, Hupunguza hatari ya macho kupofuka.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *