Health&Food

Sababu,dalili na matibabu ya mapigo ya moyo kushuka.

on

 

Sababu za mapigo ya moyo kushuka ni hizi apa;-

 • Magonjwa yanayoshambulia moyo mfano ugonjwa unaoshambulia mshipa wa damu ( coronary artery ) unaosambaza damu kwenye moyo pia bacteria katika misuli ya moyo,
 • kupungua kwa homoni ya ukuaji katika damu. hypothyroidism.
 • Kotokuwa na uwiyano sawa katika damu hasa hasa kuongezeka kwa potassium katika damu.
 • Dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu na magonjwa ya moyo mfano captopril, nifedipine na digoxine.
 • umri kuongezeka ( uzee)
Dalili zake;-
 • kuhisi kizunguzungu
 • kupata shida ya kupumua
 • kifua kuuma
 • kuchanganyikiwa au kushindwa kuwa makini kwa unacho kifanya.
 • kuzimia gafla.
Matibabu;-
 • Punguza uzito wa mwili wako
 • usivute sigara
 • fanya mazoezi kwa kiwango ambacho umeambiwa na daktari.
 • kula matunda, mbogamboga, samaki.
 • punguza vyakula vyenye mafuta au usile kabisa vyakula vyenye mafuta.
 • Fuata tiba ya shinikizo la damu na mafuta kuganda na kuongezeka katika mishipa ya damu.
source; www.webmd.com
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *