LifeStyle

Sababu kuu nne ni kwa nini Unashindwa kufuata ndoto zako leo

on

post-feature-image
Na Francis Mawere
Je umewahi kujisikia vibaya ama kua katika hali fulalini yakuonyesha kua
umekwama katika maisha ambayo hayakupendezi ama sio yale uliokua
ikitamani kuishi?
Kama jibu ni NDIO basi kaa nami hapa maana unastahili kuwa hapa leo na
nmewahi kua katika hali kama ulio nayo leo. Embu twende pamoja.
Kabla ya yote ningependa uitazame hii video Hapo chini ambayo ni
ISPARATION VIDEO kutoka kwa mmoja kati ya watu waliofanikiwa sababu tuu
waliweza kufuata ndoto zao Ni matumaini yangu umepata kitu ama vp? Sasa tuweke utani pembeni na
kuweza kuingia moja kwa moja katika kile tunacho kiita MAADUI katika
maisha yako na unashindwa kufikia pale ulipotamani kufikia

HAWA HAPA MAADUI ZAKO

1: HOFU

Adui yako namba moja ni Hofu. Hofu ya kutokujulikana, Hofu ya kushindwa, hofu ya kupnekana kua unachokifanya ni ujinga, hofu ya kueleza hisia zako. 
Imekuchukua muda mrefu kujitambua kua umejifunga mwenyewe katika gereza la HOFU na hata ukashindwa kufikia malengo yako na hasa kupitia ndoto zako.

Ni nini hasa Unachokitaka katika masha yako?
Hi ni swali moja ambalo unapaswa kuwa nalo katika kichwa chako kila
uamkapo, utembeapo na ulalapo. Iko hivi, huwezi kamwe kufanikiwa katika
masha pasipo kufamu ni nini unachokitaka na utafanya nini ili uweze
kufanikiwa katika Takwa hilo. Ndio kila mmoja anapaswa kuwa na hofu
lakiniki hali hiyo iwe katika mambo kama ya kiimani mfano Hofu ya Mungu
na hofu ya kutenda dhami na sii vinginevyo. Katika maisha yako Kamwe
hofu ya Maisha isikuingie kamwe, Jiamini kua unaweza.

Ukweli ni kwamba una NDOTO KUBWA ila kuna kitu kinakuchoma na kukumaliza
mwilini mwako na kitu hicho ni HOFU. Ni kweli usiopingika ya vijana
wengi hatujiamini, tumekua tukifanya fanya mambo kwa HOFU ama kwa
kutokujiamini na ndio maana wengi wetu tunaishia Katika kufeli kila
jambo tunalokua tukifanya katika masha yetu.
Badili mfumo wa masha yako leo maana utaondokana na kifungo ulichonako
leo. Fanya kweli ondoa HOFU jenga misingi thabiti ya maisha yako na DHAMIRIA MOYONI KUFANYA KWELI

 If you really want something, you will find a way.If you don’t, you’ll find an excuse.

Hakuna aliewahi kujaribu kufanya kweli akaambulia patupu. Nikupatie
mfano hai mmoja ambao kila mtu ameuona Fikiria Mark Zukernbag ambae ni
mwanzilishi wa Facebook ambayo leo hii dunia nzima inaitumia angekua na
Hofu ya kuanzasha mtandio huo eti kwa kua teyari walikuwepo wakina
GOOGLE na wenzake leo hii ungeisiklia wapi FACEBOOK? sasa jifunze kitu
hapo ndugu.

If you want big things out of life, you have to face your fears.And
since that’s what I’ve always wanted, that’s what I’ve always done.

2: KUKATA TAMAA MAPEMA

Huyu ni adui mkubwa nambari mbli ambae wengi wamekutana nae katika
maisha yao. Wengi hukata tamaa mapema kabla ya kukaribia kileleni cha
mafanikio yao.
Linganisha Maisha yako na Hadithi ya mapenzi: Ndo, fikiria ndoto yako
kana kwamba ni sawa na mpenzi wako amabe umezama nae katika penzi zito
na baada ya miezi machache mambo yakaenda vizuri na uko katika “Kipindi
cha fungate” na baadae ukawa na shauku ya kumfuatila mpenzi wako na
ndipo unaundua dosari nyingi juu ya mpenzi wako huyo. You get a bit
bored, kitu ambacho ni kawaida katika mapenzi na baadae unaona kua ni
umefanya chaguo ambalo sio sahihi na unaamua kuachana na mpenzi huyo.
Your dream, just like with love, unahitaji muda na bidii ili
ndoto yako iitwe mafanikio. Sio raihisi kwa kweli maana kila muda utakua
ukipata majaribu, rafiki zako watakua wakikukatisha tamaa lakini siyo
kitu, cha msingi ni kutazama katika malengo yako uliyo jiwekea ili
kufikia mafanikio yako.
Mfano mzuri ni mimi pale nlipoamua kufungua blog hii wakati nikiwa
chuoni, nilifanya kazi usiku na mchana lakini sikuona mafanikio yeyote
na kutokana na nilikua na shahuku yakufanya kweli kupitia blog hii,
sikufa moyo bali nilizidi kujituma na hata mara nyingine nilikua
nikipunguza muda wangu wa masomo ili tuu niweze kuifikisha blog hii
panapostahili,

    Sikufa moyo japo nilipata
majaribu mengi na kweli kuna wakati nlitaka kukata tamaa lakini Shauku
ya mafanikio nliyokua nayo ilinifanya kujituma zaidi na kwa kweli
Matunda nmeyaona japo bado Sio kama nlivyodhamiria,

Mtu pekee unaeweza kujilingasha nae ni ….. WEWE.
Je umeona afadhali ukijilingasha na nyuma ulipotoka? kama jibu ni NDIO
you can relax and keep on working harder than ever. Hutoweza kukosea
kamwe.
And what if something actually does goes wrong? Admit the defeat, analyze your mistake, get back up, and keep trying.

Successful people are not necessarily geniuses; they are those who
never gave up. The ones who see an obstacle as an opportunity.

3: KUSUBIRIA MUDA SAHIHI.
This reason is what I call the “black dress excuse” Linafiti
katika kila tukio/Sherehe. Ilinichikua muda mwingi kuanza kuamini. Kuna
kasumba moja ambayo tuko nayo sisi vijana na kasumba hiyo ni kujiona
wewe bado ni mchanga hivyo huwezi kufanya jambo fulani katika hilo

    Bado mimi ni mdogo, nahitaji kumaliza kwanza chuo kisha nipate kazi nzuri na maisha mazuri,

Hakika hapo ndipo unajifunga kitanzi peke yako na utakufa bila kusaidika
hasilani. Muda sahihi wakufanya kweli ni sasa. Kama ukiwa unangojea
muda sahihi wa kuamua, kaa ukijua kua huo muda hautokaa uje na mwisho wa
siku utaishia kuhangaika tuu.

      Chukulia mfano ningekua na fikra yakua wakati naanzasha blog hii
ningesema huu sio muda sahihi wa kufanya hivyo eti tuu sababu niko
chuoni nikisoma mambo ya Medical, leo hii nisingehesabu mafanikio yangu
leo hii kwa kiburi. Niliamua kufanya hivyo sababu Idea nlikua nayo na
niliamini muda pekee nilio kuwa nao kufanya hivyo ni ule nlioanzisha
blog hii.All I’m saying is to start taking your dream seriously.TODAY.

Andika mambo yote unayo amini kua utayafanyia kazi na kupata mafanikio na kisha anza sasa kuyafanyia kazi. 
Fikiri kua ndio umenza na ndio uko katika ndoto zako na kisha weka nia juu ya hilo.
Japo wapo wengi wanafanya kile unachotaka kufanya lakini isikupe shida cha msingi wewe do it better
Point ya mwisho ambayo ni ‘do it better’ ndiyo point niliyoamini nakuanza nayo. Ziko blog nyingi mno zenye wafuasi wengi lakini ‘SIKUOGOPA’ nilifanya kwa uzuri ‘do it better’ leo hii naweza kusimama nakufanya ama kuandika jambo na nikakubalika.

If they made it, why couldn’t I? And if I made it, why can’t you?

 

4: KUFUKIRI YAKUA HUNA CHAGUZIchase your dreams, why people don't chase their dreamsHapa
inabidi niwe mbabe kidogo, Siku moja nilikua nikimweleza rafiki yangu
juu ya ndoto zangu na akawa akinikejeli Sababu tuu yeye alikua teyari
ana nyumba, gari na baadhi ya mali alizokua teyari akizimiliki.
Sikumshangaa maana nilitambua kuachana mali alizokua akimiliki na hatua
ambayo yeye alijiona keshapiga, lakini alikua amekosa baadhi ya vitu
ambavyo mimi nilikua navyo na yeye hana vitu hivyo. Alikosa UHURU.
 Nilikua na uhuru wa :-
1.Kuchagua
2.Uhuru wakufanya chochote ninachokitaka katika maisha yangu
3.Uhuru wakufanya makosa na kujutia.
Mwisho
wa siku aliniambia “Una bahata samahani” nami nkamwambia sina bahati
eti sababu tuu nina utofauti huo this life didn’t knock on my door,
begging me to choose it.

I CHOSE TO CHANGE. AND SO CAN YOU: YOU DO HAVE A CHOICE. EVERY SINGLE DAY
Labda uwe Gerezani ama uwe mgonjwa mahututi, hakuna  Sababu yeyote
inayokufanya usibadili maisha yako leo hiii kama kweli unataka
kufanikiwa. Wako walemavu wengi wanaotembea na viti vya magurudumi
lakini wanaizunguka dunia, hata vipofu nao hufanya hivyo je ni kwa nn
wewe usifanye hivyo?
 If you think you don’t have a choice, think again. Is anyone forcing you to live your  current life?

Haijalishi watu walingojea nn kutoka kwako na wewe ukaona ni vyema
kuwafuata ushauri wao ili kutokuwakwaza lakini unaamua kufanyab hivyo na
ukawaridhisha lakini wewe utakua umemkwaza mtu mmoja katika maisha yako
ambae ni …..WEWE
Your person and your time are the most important assets that you will
ever have. You can do incredible things with your life. No matter what
your age is, it’s really never too late to choose a life that really
suits you, and screw all those annoying people who try to convince you
otherwise!

AND ALWAYS REMEMBER: “IF YOUR DREAMS DON’T SCARE YOU, THEY ARE NOT BIG ENOUGH” :)

UJUMBE HUU UMEANDIKWA NA NDUGU FRANCIS MAWERE KUPITIA MTOKAMBALI BLOG

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *