Health&Food

Sababu zinazopelekea kutokushika ujauzito kwa mwanamke.

on

 

1. Kuharibiwa kwa mirija ya uzazi.
Bacteria kushambulia mirija hii au kufanyiwa upasuaji na kuacha kovu kwenye mirija hii kunaweza kusababisha Yai lisiweze kufika katika kuzazi ili kukutana na mbegu za kiume ili kutengeneza kichanga.

2. Sababu za kihomoni
Baadhi ya wanawake wanamatatizo ya yai kupevuka hivyo hawaoni siku zao hii ni kutokana na mwili kushindwa kuwastanisha homoni zinazohusika na mambo ya uzazi. kujua tatizo hili unaweza kufanya Vipomo vifuatavyo Ovulation predictor Kit, kupima damu ili kugundua homoni iliyopo, Basal Body Temperature.

3. Matatizo ya mlango wa kizazi
Baadhi ya wanawake hujikuta katika mlango wa kizazi kuwepo na uteute ambao huwa na kemikali inayoweza kuuwa mbegu za kiume pindi zinapokutana na ute huo.

4. Matatizo ya kizazi
kizazi kukaa sehemu ambayo siyo ya kawaida katika mwili wa mwanamke pia kupata uvimbe katika kizazi.

5. Magonjwa yanayoshambulia sehemu ya uzazi.

Rejea; http://www.webmd.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *