Uncategorized

Njia saba za kuzua kupenda tendo la ndoa hadi kupitiliza

on

Couple kissing on bed : Stock Photo
1. Pale ambapo unasikia kiu au hamu ya kufanya mapenzi chukua mto wako weka katikati ya mapaja     yako kwa muda wa dakika 30 na hiyo hali itatoweka.

2. Kwa mwanamke pale ambapo unasikia miwasho katika sehemu zako za uke huku mwanaume wako hayupo chukua maji ya moto kisha kisha changanya na ya baridi alafu safisha sehemu yako ya uke.

3. Usiangalie wala kusikiliza vitu ambavyo vinahamasisha mapenzi kwa sababu vitakuongezea hamu ya kufanya mapenzi.

4. Pale ambapo unasikia hamu zaidi fikiria mapenzi na upendo wa mpenzi wako hii itakufanya wewe kuepuka kumsaliti au kujamiana na mwanaume au mwanamke mwingine.

5. Ukisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa fanya kazi zitakazo kuweka busy sana

6. Usimtamani sana msichana au mvulana ambaye hutaki kujamiana naye.

7. Fikiria kuhusu baadaye na siyo kujamiana kila mara tuu.

source;http://peaklynponj.blogspot.com

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *