Health&Food

Ni muda gani mbegu za kiume na yai la kike huishi baada ya kujamiana?

on

Kwa kawaida Wanaume hutoa Mbegu yaani sperm na wanawake hutoa Yai yaani Ovam. Mbegu za kiume huweza kuishi katika eneo la uke wa mwanamke baada ya kujamiana kwa muda wa siku tano kwa hiyo endapo mwanamke atafanya tendo hilo siku ya 10,11, 12, 13, 14 katika mzunguko wako wa hedhi uwezekano wa kupata ujauzito ni mkubwa sana hivyo basi unashauriwa kutofanya mapenzi muda huu kama huitaji mtoto ila kama lengo ni kupata mtoto basi huo ndio muda wake.

Mwanamke hutoa Yai yaani Ovum siku ya 14 katika mzunguko wake, Mayai haya hudumu kwa muda wa masaa 24 yaani siku nzima yakisubiria kurutubishwa na endepo yakikosa mbegu ya kiimu yaani sperms huaribika na kutoka nje kama uchafu.

N;B Kuna mizinguko mifupi na mirefu n tambua mzunguko wako kwanza.

Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *