Entertainment

New Gospel Video: Mercy Masika – Shule Yako

on

Mercy Masika ni moja kati ya wanamuziki wa injili kutokea Kenya ambaye kwa sasa anazidi kufanya vizuri zaidi hapa Africa mashariki na safari hii katuletea kibao kingine kinachokwenda kwa jina la Shule yako. Tizama video hiyo hapo chini kisha washirikishe na Rafiki zako.

Mtokambali 728x90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *