Entertainment

New Audio: Umenikamata By Jux | Listen&Download

on

Member kutoka kundi la Wakacha Jux ameachia audio yake mpya inayokwenda kwa jina la Umenikamata. Audio hii imefanyika AM REC chini ya Producer Bob Manecky. Ngoma hii kwa sasa ipo Mkito na unaweza kipakua nyimbo hii hapo chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *