Uncategorized

NAMNA GANI UNAWEZA WEKA MAISHA YAKO YAKAWA NA UWIANO?

on

  • KUWA NA UWEZO WA KUJUA CHA KWANZA KUFANYA(ability to make priority)

Fikiria kwanza nini unachokitaka  na ni kwa muda gani na utafanya nini ili uweze kukipata hakiki kwamba unachoanza kupanga kukifanya katika maisha yako kinakurahisishia njia ya kutimiza yale malengo au ndoto zako za msingi katika maisha yako.mfano ukiwa shule epuka sana kutumia muda mwingi katika mambo ambayo siyo ya msingi mfano kuchati akati una kazi za nyumbani kibao namaanisha homework.Pia hakikisha unatumia asilimia angalau 60% for learning purpose.
ALWAYS KNOW WHAT TO PLAN, TIME FOR CARRYING YOUR PLAN AND GOALS OF YOUR DAILY LIFE PLAN.

  • WEKA MALENGO AMBAYO UNAWEZA TIMIZA (Our goals,dream always should be equal to our ability);-

Nilazima uhakikishe kwamba unachokipanga unaweza timiza kwa uwezo wako. Kwa kawaida kuna uwezo wa kiuchumi(financial capacity),uwezo wa kiakili ( knowledge capacity ) na uwezo wa kuunda fikra (thought generation ability) kwa hiyo ukuweza kumizanisha au kuweka mlinganifu mzuri katika hivi vitu vitatu basi utafanikiwa kwa kile unachokokitaka. hakikisha mtaji unaopanga kwa ajili ya biashara yako ni sawa na uchumi wako pia hakikisha ufanyi au hutengenezi vitu au hufundishi vitu ambavyo havilingani na uwezo wako wa kiakili. Fanya uchunguzi kwanza ili uwe na uwezo wa kiakili wa kupambanua unachotaka kukifanya.
THOUGHT GENERATION CAPACITY + KNOWLEDGE CAPACITY +FINANCIAL CAPACITY=ACHIVEMENT.Hakikisha malengo yako ya sasa yanafanikisha malengo yako ya baadayee.

  • BAJETI KWA UMAKINI(Make sure your output not exceed input):

Epuka kutumia vitu ambavyo vipo nje ya kipato chako hii itakupelekea wewe kutokuwa na akiba pia kudaiwa sana kuliko na kitu unachoingiza hakiki ulaji wako ni 10% ya kipato chako pia hakikisha unaweka akiba 20% ya kipato chako hiyo itakusaidia katika kufanya mamba mengine tofauti na kazi.
Jifunze kujinyima vitu ambavyo unajua sio lazima katika maisha namaanisha kama ukikosa hicho kitu hufi au huumwi pia epuka kutamani kufanya au kununua vitu ambavyo vipo nje ya kipato chako.

  • TENGENEZA MAWASILIANO NA WATU WENYE MAWAZO CHANYA(Positive thinker will always give us positive opinion which will let us to have positive atitide which will bring us to success place) ;:

Kaa karibu na watu  wenye mafanikio pia ndugu zako na rafiki zako ongea nao kwa uwazi mambo yako hasa wale wanaoonyesha kuwa na mtazamo mzuri katika maisha yako epuka watu ambao wanaishi kwa misingi ya kukatisha watu tamaaa. Kama unatatizo waambie wale wenye uwezo wa kukusaidia kwa aina yeyote iwe kwa mawazo au kwa kukupa unachohitaji ili ufaniliwe.

  • KAA KARIBU NA MUNGU(God know us from top to bottom under God anything can make a way);

Hii unaweza fanya kwa kusoma neno la Mungu walau mara moja kwa wiki pia kwa kusikiliza neno la Mungu walau mara moja kwa siku. Jijengee mazoea ya kusali kabla na baada ya kulala na pindi unapo amka jifunze pia kusaidia wasiojiweza na kutoa sadaka mara kwa mara jifunze pia kukabithi malengo yalo kwa Mungu.

  • JIJALI MWENYEWE(smartness is a key of attraction to positive people)

Hakikisha unajiweza kisabuni sabuni namaanisha msafi kimwili(physically),kiakili(mentally) & kiroho(spiritually)   kimwili hakikisha unaoga vizuri vaa vizurii pia fanya mazoezi ili kuhakikisha mwili wako unakuwa na nguvu pia kula vizuri usisahau kuacha kufanya ngono zembe pia kuwa kutumia pombe kupita kiasi hii itakufanya uonekane safi.
 kiakili hakikisha unafuatilia mambo ambayo yanausu kazi yako usiwe mzembe wa kujua na kuelewa utekelezaji wa kazi zako za kila siku kuwa mdadisi pia uliza maswali ili uongeze uelewa wa kitu ambacho hukijui.
 kiroho kwa ufupi ni kuhakikisha unatimiza mambo kama kwenda kanisani au msikitini, kutubu makosa yako na kutoa sadaka GIVE MORE THAN YOU GET THEN GOD WILL TIMES WHAT YOU GIVE  

        ASANTE KWA KUSOMA HAPA ENDELEA KUFUATILIA UPUDATE ZANGU NATUMAI       UMEPATA HATA KAKITU FULANI HAPO CHA KUKUELIMISHA

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *