Health&Food

Namna 4 za kuongeza homoni ya Ukuaji katika mwili wa binadamu

on1. Punguza mafuta katika mwili wako

mafuta katika mwili husababisha homoni ya ukuaji kutokutengenezwa kwa kiasi ambacho kinastahili na cha kutosheleza na gland ambayo hutoa hii homoni huitwa Pituitary Gland. Pia mafata husababisha magonjwa mengi mwilini.

2. Penda kukaa bila kula kwa muda  

Njaa ya muda mfupi kama masanaa 8 hadi 10 husaidia homoni ya ukuaji kutengezwa pia husaidia kupunguza mafuta mwilini pale ambapo mafuta yaliyopo mwilini kutumika kutengeneza nguvu.

3. Punguza ulaji wa vitu vya sukari

Vyakula vya wanga kama Ugali, mchele viazi vitamu na vingine vingi hupunguza utengenezwaji wa homoni ya ukuaji na kuongeza uzalishwaji wa homoni ya Insulin ili kuwastanisha sukari iliyopo katika mwili.

4. Usile sana muda wa kulala

wakati wa kulala huitaji sana kula sana kwa sababu mwili wako unaenda kupumzika hivyo basi homoni ya ukuaji hutengenekwa kama kawaida ila ukila sana muda wa kulala husababisha homoni aina ya insulini kutengenzwa hivyo husababisha kuzuia uzalishwaji wa homoni  ya insulin ili kumeng’enya chakula ulichokula.

 

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *