LifeStyle

NAMNA 10 USOMAJI UNASAIDIA UKUAJI WA UTU WAKO KATIKA MAISHA

on

I. Hukuonyesha uhasili wa ubinadamu

2. Humpa mtu mbinu za kutatua matatizo yake

3. Husaidia kutengeneza maono ya unachotaka kufanya

4. Huboresha lugha na kukuongezea misamiati

5. Hupunguza mawazo

6. Hukupa uwezo wa kusaidia watu na uvumilivu wa mambo

7. Usomaji huongeza  kujiamini

8. Msomaji huona uhusiano kati ya kisababishi na matokeo yake

9. Msomaji hujua umuhimu wa kuwa mwenyewe kwa muda fulani

10. Msomaji ni mtu anayevutia sana.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *