Cellebs

mfahamu msanii mwanadada kutoka THT Alice

on

 

Anaitwa Alice Kibopile ni mwenyeji wa Mbeya Mnyakyusa mtoto wa kwanza kwa fafiia ya watoto wanne, Alianza kufanya muziki akiwa Dar es salam Mbezi Beach kanisani akiwa kwaya alijiunga na THT baada ya Rafiki yake Linah Sanga na kujiunga THT baada ya kushauriwa na Rafiki yake Linah Sanga.

Nyimbo aliyoandika ni Nakupenda nimekuchagua ameandikiwa nyimbo ya waubani ulimsaidia connection na kumtambulisha katika katika bongo fleva, siri siri pia imemuweka juu sana kwa sasa wanafanya project yao wakiwa kama Butter fly ambapo wapo wanne project hii inahusisha mambo ya jamii hasa hasa wasichana kundi hili lina Mua Sama, Ruby na Paris.

Anatamani kufanya collobo weusi na Alikiba

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *