Uncategorized

HATUA 11 YA KUHAMASISHA

on

Hamasa ni kitu cha msingi sana katika maisha bila hamasa ni vigumu kwa mtu kufanikiwa kwa sababu katika njia ya mafanikio kuna changamoto nyingi sana na katika hizo changamoto zimegawanyika kuna ambazo unaweza kutatua mwenyewe na kuna ambazo huwezi kutatua wewe kwa hiyo unahitaji hamasa ili kuweza kukabiliana nazo.

1. Fanya kazi mwenyewe kwa bidii

2. Tengeneza mipango  yako ya kiafya ambayo itaweza kukuwezesha wewe kumaintain afya yako

3. Ishi kwa kuwa na msukumo na chachu ya mafanikio

4. Fuatilia na kuwa makini na maogezi yako ya ndani

5. Jua unachokitaka katika maisha 

6. Icho unachokitaka kione kwa macho ya moyoni

7. Jua sababu za kupambana na malengo yako

8. Hakikisha unakuwa na ujuzi wa kutosha kwa unachokifanya

9. Fanya kwa  vitendo 

10. Ona kitu ambacho ni kikubwa kuliko wewe.

kwa kutumia hivi unaweza kupambana na maisha na kuweza kuwa na hamasa ya kufanya kitu ambacho kitafanikisha ndoto zako.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *