Uncategorized

MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU DOGO JANJA

on


1. Amewahi kupiga debe kipindi akiwa na miaka 12 na kwa siku aliingiza kiasi cha mia saba(700/=)

2. Yeye hachagui hela ndogo wala kubwa.

3. Amewahi kukaba na kupora enzi hizo akiwa Ngarenaro pamoja na washkaji zake na mara nyingi alipora klabu au mfano wakikutana na wauza bagia usiku basi bagia na pesa ni halali yao.

4. Alikutana na Madee na kumchania mistari katika gari yake na kumkubali dogo na kumpa nafasi ya kujiunga na Tiptop connection. hiyo ilitokea Arusha wakati wanaume family na Tiptop connection wakienda kufanya shoo triple A.

5. Kitu ambacho Dogo Janjaro angefanya kama asingekuwa msanii ni Angekuwa kuwa Mwanasheria.

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *