LifeStyle

Mambo kumi ambayo watu walio na akili chanya hufanya asubuhi

on

Huitaji kufanya mazoezi sana ili kuimarisha akili yako, akili iliyo makini na bora huweza kutenngeneza malengo ambayo yatakufanya wewe kufikia malengo yako, Asubuhi ni muda mzuri ambao unaweza kufanya mambo yako  yawe  katika mstari ulionyooka.

1. Hupenda kutafakari


Kutoka kwa Russell Simmons na Oprah Winfrey wanasema kwamba kutafakari kwao asubuhi ni kitu cha lazima pia kutafakari asubuhu husaidia kutengeneza uzani na kujiweka karibu katika mambo yako ya ndani mwenyewe.

2. Huwaweza kukagua hisia zao


Akili yenye nguvu huweza kukagua hisia kisha kujua udhaifu wake na uimara wake pia watu ambao huweza kufanya haya hujua kukagua na kujua hisia zao zinawatuma kufanya nini hivyo kujitahidi kuwa bora kadri wanavyoweza.

3. Hufanya maongezi chanya


Watu ambao  wanaakili chanya huamka asubuhi na maneno au sentensi kama “Mimi ni mkubwa” “Leo nitakuwa bora sana” ambazo zinawafanya kujifariji na kuwa na imani ya kutimiza malengo yao.

4.  Hufika nje

Watu hawa hupenda sana kufikisha upendo kwa watu ambao wanafikia pia hupenda sana kuwa na upendo na watu wao wa karibu.

5. Hutengeneza mipaka yao ya kiafya

kutoka nje haimaanishi kwamba hutoa nje hadi nguvu yao ya maisha ambayo inahitajika katika shughuli zao, hujua kwamba lazima wawajibike na kufikiri, kuhisi na kuwa na tabia ambayo haitawatoa nje ya uhalisia wao.

6. Hujitengenezea malengo yao kila siku


Huakikisha kwamba chochote ambacho wanakifanya kwa ule muda ambao wamepanga kukifanya kila siku wanakifanikisha kwa asilimia zote.

7. Hufanya mazoezi


Kufanya mazoezi na kazi huwaidia akili kubaki na nguvu pia husaidia kuongeza nguvu za kufanya kazi.

8. Hujishindanisha wenyewe kuwa bora


Hupenda kuangalia sana ni  kitu gani ambacho kinawafanya warudi nyuma pia watu wanaotaka kuwa imara kiakili hawapendi kuwa nyuma hivyo hutafuta nafasi ambazo zitawafanya kusonga mbele.

9. hukubaliana na furaha na mwisho huamini kwamba watakuwa bora tuu.

 

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *