LifeStyle

mambo 4 ambayo huondoa furaha katika Mahusiano.

on

 

1. Kupata msongo wa mawazo kuhusu maisha ya nyumbani.

kwa chochote kinachokea katika maisha yako hutakiwi kuogopa wala kukata tamaa kuhusu hali ya nyumba yako. Hakikisha kwamba matatizo hayaharibu furaha yako katika mahusiano yako. Nyumbani kwako ni nyumbani kwako huwezi kupaacha.

2. Hujisikii vizuri ukiwa mwenyewe.

Pengine mpenzi wako hakutimizii haja za kimapenzi au wewe humtimizii haja za kimapenzi ipasavyo usiogope mfundishe jinsi ya kukutimizia au mfundishe wewe nini afanye ili akutimizie haja yako vizuri. Kuwa muwazi ndiyo njia sahihi ya kukufanya wewe uwe kujisikia vizuri mwilini na moyoni hadi kihisia.

3. Mwenzio kuwa na tabia ya kujificha ficha

uaminifu uliokamilifu ni muhimu sana katika mahusiano kitendo cha kuweka password au neno siri kila mahali katika simu yako au kumnyima mpenzi wako kushika simu yako kinamfanya yeye kukosa furaha na kutojisikia vizuri kutokana na kitendo unachofanya ila amini kwamba ipo siku utakamatwa tuu na kwa unayefanyiwa hivyo usiogope jikaze yeye mwenyewe atakuja kukuambia tuu akizidi achana naye.

4. Kuogopa kuweka ahadi

Pale ambapo umekaa katika uhusiano kwa muda wa mwaka mmja kisha hamna kitu chochote mpenzi wako anahashiria kuhusu swala la kufunga ndoa au kukuvisha pete na pale unapomgusia anapata hasira au anakuambia usimwambie maswala hayo hata kama unampenda kiasi gani ni muhimuukachukua maamuzi mengine ili kusitiri moyo wako achana naye.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *