Health&Food

MAHITAJI MUHIMU YA MWANADAMU KULINGANA NA ABRAHAMU MASLAW’S

on

 

 • Hitaji la kimwili.
Binadamu hawezi kuishi bila ya kupata hili hitaji. mahitaji ya kimwili humfanya mtu apate akili nzuri na afya njema ambayo itamsaidia kuweza kupambana na changamoto zote ambazo atakutana nazo.
vitu hivi ni kama
 1. chakula
 2. hewa ya oxygen
 3. mavazi
 4. tendo la ndoa

 

 • Hitaji la Usalama
Binadamu lazima atengeneze au atengenezewe mazingira ambayo yanamfanya yeye kuwa mbali na hofu pia kutokuthurika kiraisi katika maisha yake na pia hukujengea uhuru wa kufanya mambo yako kwa kujiamini. haya ndio mambo yanayoonyesha usalama
 1. Afya nzuri.
 2. Usalama wa mtu mwenyewe.
 3. Usalama wa kiuchumi.
 4. kujinga na maradhi.
 • Upendo ns Utu.
Pale ambapo watu wanashindwa kupewa ukaribu na jamaa zao wengine huchukua hatua ya kujiua na wengine huchukua hatua kujinyonga. Anahitaji vitu vifuatazo’
 1. Urafiki
 2. Upendo wa karibu sana.
 3. Familia
 • Kujiamini
Huu ni ule uwezo wa mtu kuweza kuamini uwezo wako wa  kufanya mambo yako popote pale ulipo pia inakufanya wewe kuamini kile ambacho umekiwaza kisha ukafikiria kwa hiyo lazima ujipe moyo na kujiamini kwa ambacho umekioanga.
 • Kufanikiwa
Hapa ni ile sehemu ambayo unakuta mtu tayari ameweza kufikia malengo yake na hutoa hicho kituu baada ya kuona kwamba tayari wewe umefanikiwa katika ndoto zako zimefikiamalengo.
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *