Cellebs

Maana,Dalili,Sababu na Matibabu ya kupata choo kigumu

onMaana

Hichi ni kitendo cha kujisaidia choo kigumu( husukuma kwa ngumu sana ili  kuifanya misuli iliyopo tumboni inasukuma choo kigumu vizuri )  Asilimia 12% ya watu duniani hupata tatizo hili.

Sababu

 • Kutokula vyakula kama mbogamboga
 • kutokula matunda kama maparachichi na mapapai.
 • kutokunywa maji ya kutosha.
 • Magonjwa kama shinikizo  la damu na kisukari
 • kubana haja kubwa mwenyewe kwa hiari yako.
 • Madawa kama ya shinikizo la damu

Dalili

 • Kujikaza sana wakati wa kujisaidia.
 • Kujisaidia choo kigumu.
 • kuhisi kama ujamaliza choo wakati unajisaidia.
 • Kusikia kama kuna kitu kimeziba sehemu ya puru na utumbo mkubwa.
 • Tumbo kunguruma mara tatu au zaidi kwa wiki.
Matibabu na njia za kuepuka
 • kunywa maji ya kutosha
 • kula matunda kwa wingi hasa parachichi.
 • Fanya mazoezi mara kwa mara.
 • kunywa dawa za kulainisha choo zinazoitwa kitaamu laxative 
 • Doctor anaweza kutumia mikono yake kuyatoa baada ya kuyalainisha kwa maji safi na salama kitaamu kitendo hiki huitwa Fecal impaction
 • Watoto hupewa maziwa yalichanganywa na madini ya magnesim.
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *