Uncategorized

LIL WAYNE AKANA KUWATAMBUA RAPPERS WA KISASA, JE DONALD TRUMP ANAMTAMBUA?

on

Rapper mkongwe mwenye mashabiki lukuki Duniani Lil wayne akana kuwatambua wakali wa sasa katika miondoko ya ‘Rap’ uko marekani.
Akiulizwa swali na New York Times, kuhusu kama anatishwa na rappers wakisasa kama Lil Yachty, Lil Uzi Vert, 21 Savage na Kodak Black kubaki katika ubora wake,
Lil wayne alijibu nakusema, kwanza hawafahamu hao watu na yeye ana-focus kufanya mambo yake kwa sasa.
Jibu la Wayne limeshangaza hadhira baada ya sikuchache tu kuonekana kuhudhuria katika tuzo za BET 2016 ambapo akishuhudia majina matatu kati ya wasanii wale aliosema kutowatambua waki-perform stejini nayeye akiwepo kama matazamaji.
Wayne pia alienda mbali zaidi na kusema
hamtambui mtu anaye kwenda kwa jina la Donald Trump
Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *