Uncategorized

LEO SAA SITA MCHANA LUPELA ITAOKEKANA KATIKA KITUO KIKUBWA CHA TV AFRIKA

on


ni video ambayo imefanyika katika nchi ya Marekani chini ya Director mkuba Hollywood mnomo tarehe saba mwenzi wa pili mwaka 2016 ilianza kuonekana mitandaoni na TV station mbalimbali hapa Tanzania 

Jana kupitia ukarasa wa Instagram MTV Base wamedhibitisha hii nyimbo kuanza kuchezwa rasmi katika TV hiyo na kuonekana katika nchi mbalimbali Afrika na dunianin kwa ujumla. hii inaonesha ni kiasi gani muziki wa Bongo Fleva unavyozidi kushika chati na kuonesha umahiri Africa na duniani.
wasanii wa bongo endeleeni kukaza mpaka kieleweke.

king

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *