Inspiration

Kanuni za mafanikio kutoka kwa Vannesa Mdee

on

 

Huyu ni mwanadada kutoka katika nchi ya Tanzania ameweza kufanya kazi katika kituo cha Televisheni cha MTV pia amewahi kuhost show ya Bongo Star Search kama mtangazaji kisha baadaye akaanza kujishuhulisha na muziki ambao umemfanya kuchukua tuzo mbalimbali pia kujulika Africa na kuwa mfano kwa vijana wengine, soma mbinu zake za mafanikio hapa.

1. Usitangulize pesa

“Mwanzoni nafanya show i didn’t care about money I was finding experience and knowledge”

2. Tafuta mtu mwenye uzoefu

“Mimi nilikuwa napenda kucheza sana hivyo nikaamua kumtafuta mtu mwenye uzoefu ambaye ni Msami nikaanza kufanya mazoezi pale THT.”

3. Amua kufanya

“Closer ilinipa criticism( kusengenywa) sana ila nkasema I know  I wanna do this hata kama wanasema I wanna do this let me push push push.”

4. Hamasisha wengine

” huwa nawapa inspirational( hamasa) wasanii wachanga hata kama sijafanya nao nyimbo”.

5. Mafanikio huanza kutoka chini kwenda juu

6. Soma ishara unazoonyeshwa na Mungu

” Baada ya kuonana na Kanye West niliona kama kuna ishara ambazo Mungu ananionyesha so nifanye kazi kwa Bidii”.

7. Unaweza kufanya

“Mungu alinionyesha kwamba you can do it sikiliza sauti ya Mungu”.

8. Penda ambacho wengine wanafanya

” Namkubali K.O sana ni mtu ambaye nakubali hustle zake namuheshimu sana”.

9. Shukuru wanaokusaidia

10. Tengeneza mtandao ambao utakupa mashabiki wengi

Kanuni hizi zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano ya msanii huyu katika kipindi cha Sporah   Show

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *