Inspiration

Kanuni tano za mafanikio kutoka kwa Banana zoro

on

 

 

Ameanza kuimba miaka ya 2000,Amepata mafanikio makubwa katika mukizi wa Bongo Fleva amezaliwa katika familia ya vipaji vya kuimba. Banana zoro ni mwanamuziki wa miondoko ya zuku, Bolingo pia ni mtunzi mzuri sana. hizi ndizo kanuni zake za mafanikio.

 

1. Jifunze

“mimi nipo hapa na ubora huu kwa sababu najifunza kila siku kuhusu kazi ninayofanya”.

2. Tengeneza njia yako

“Mimi ninachokifanya ni natengeneza njia ¬†yangu mwenyewe hivyo basi siogopi mwanamuziki wa sasa kwa atanipata”

3. Jiamini

“Kama unataka kuingia katika muziki ni kujiamini na kuamini unachokifanya ni sahihi”

4. Amini na fanya kile unachokipenda

“Kazi ukiipenda utafanya kwa furaha mimi napenda muziki na naenjoy sana ninapofanya muziki”

5. Kuwa makini

” pale unapokuwa maarufu unapata watu wengi wanakuzunguka kwa hiyo kuwa makini mno”

Kanuni hizi za mafanikio kutoka kwa mtagazaji huyu zimeandaliwa kwa kusikiliza mahojiano yake katika kipindi cha The avenue mawazohuru.
document.write(“”);

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *