Inspiration

Kanuni kumi za Mafaniko kutoka kwa mwanamitindo kutoka Tanzania Rio Paul

on

 

1. Penda unachokifanya

2. Wahusishe wengine na tumia mawazo yao chanya.

3. Tengeneza kitu, Uza kitu na pata faida.

4. Kama unandoto zitimize.

5. Kuwa vizuri kwa kitu unachokifanya.

6. Amini unaweza.

7. Tumia kipaji chako.

8. Kuwa mbadilishaji.

9. Tangaza kazi yako.

10. Mpende kila mtu.

Source; Startup Grid you tube online

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *