Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio za mafanikio kutoka kwa Shetta

on

 

1. Wapende wanaokuchukia

2. Tafuta mwongozo

3. Amini katika unachokifanya.

4. Elewa kwa undani kitu unachokifanya.

5. Heshimu kila mtu.

6. Jua jinsi ya kuendesha maisha yako binafsi na maisha ya kazi yako.

7. Usifanye kitu kwa Mashindano

8. Usijione bora kuliko mtu yeyote.

9. Tangaza kazi yako na brand kazi yako.

10. Unaweza fanya mwenyewe.

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *