Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Sheria Ngowi,

on

 

1. Fanya kazi kwa mipango.

2.Zihisi ndoto zako.

3. Jiamini.

4. Usimamizi mzuri.

5. Jitunze mwenyewe.

6. Ona kila siku kama unaanza.

7. Usipende kujilinganisha na mtu kwa sababu kila mtu ana njia ya kupata mafaniko yake.

8. Jione bora siku zote kuwa namba moja.

9. Mwamini Mungu.

10. Kila kitu siyo pesa, kila kitu ni fikra kwa sababu fikra huzaa pesa.

source;  Busy bros you tube channel

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *