Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Master P(rules of success said by Master P)

on

 

1. Pambana ( hustle )

2. Simama katika maneno yako ( stand by your word )

3. Jiandae ( be prepared )

4. Kuwa huru ( be independence )

5. Kuwa na mtandao ( have a network )

6. Tengeneza fursa zako ( create opportunity for yourself )

7. Jielimishe mwenyewe ( educate yourself )

8. Chukua nafasi zako ( take chances on yourself )

9. Simama juu kwa makosa yako ( stand up for your mistakes )

10. Weka historia ( make history )

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *