Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Joseph Kusaga

on

 

1. Inawezekana kwa kutumia akili yako “change mindset jua kwamba fursa zipo wapi”

2. Wastanisha muda wako wa mazoezi, kazi na kukaa na familia

3. Kila mtu ananjia zake usimkataze mtu kitu anachokifanya

4. Nidhamu

5. kaa kwa makini na angalia vizuri

6. Dhubutu “kama unaweza kufanya fanya usiogope”

7. Ukiona mlango mmja unafungwa fungua mwingine

8.. Watu wakikusema maneno yao hukusaidia wewe kukua na kuendelea

9. Saidia “Policy yangu ya kwanza ni kusaidia”

10. Fanya kazi nzuri utajiuza

Kanuni hizi zimeandaliwa kwa kusikiliza kwa makini mahojiano ya mfanyabiashara huyu katika kipindi cha  sporah show

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *