Inspiration

Kanuni kumi za mafanikio kutoka kwa Akon ( top ten rules of success said by Akon )

on

 

1. Amini kwa kile unachokifanya ( Believe on what you do )

2. Siku zote fikiria kikubwa ( always think big )

3. Fuata moyo wako ( follow your gift )

4. kamilisha hila yako ( perfect your craft )

5. Tafuta faida yako ( find your advantage )

6. Tafuta cha kukuendesha ( find your drive )

7. Kitoe kilichobora katika kila jambo ( Make the best on every situation )

8. Weka akili iliyowazi ( keep an open mind )

9. Wekeza katika kipaji chako ( invest on your carrier )

10. Kuwa na wakufunzi ( have mentors )

Mtokambali 728x90

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *